Tanzanians have taken to social media to react:
Michael: Ndugu zangu Waislamu
+Hii sio sawa ni ukatili na uonevu so mtu akiwa Zanzibar hata kama sio Muislam mnataka afunge hapana aisee
Halafu mbona nyie mkija huku kwetu Bara hata mkila urojo hadharan wakat sie tumefunga Kwaresma mbona huwa hatuwachapi bakora?
Ahel: Sasa mimi nifunge halafu mtu ale mbele yangu kuna shida gani..?? Zanzibar is sick kwakweli, wanachofanya hata kwenye dini hakipo
No comments:
Post a Comment